ACCT imekutana na Mkandarasi wa Standard Gauge kwa lengo la kushirikiana na wakandarasi wazawa

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/acctco/public_html/includes/menu.inc).
Baada ya kuona tangazo la kazi za mradi wa Standard gauge Team ya ACCT ikiongozwa na Mwenyekiti leo tumekutana na  Rahco na Mkandarasi mkuu (Yapi Merkezi) kuangalia namna ya kushirikisha makandarasi wazawa kwa kuwapa kazi ndogondogo mbalimbali katika mradi huo ili kujenga uwezo wa wazawa.
 
Mazungumzo yameenda vizuri wameoneshwa kuvutiwa zaidi kwenda kama chama na kuahidi kutoa kazi mbalimbali ndogondogo kwa members wetu. 
 
Chama kinaendelea kuratibu mchakato huu ili kuhakikisha wazawa tunashiriki kwa asilimia fulani.
 
Pia tumeomba kutembelea site  hiyo huko Soga ili kujionea na kujifunza mambo mbalimbali hivyo mtatangaziwa ni lini tutafanya hiyo site study visit, wanachama wote mtakaopenda  mnakaribishwa kwenye site visit hiyo.