ACCT INAWAKARIBISHA MAFUNDI KATIKA MAFUNZO YAKINIFU YA UPAKAJI WA RANGI

ACCT inawakaribisha Makandarasi wote kuleta mafundi wao kwenye mafunzo ya kuongeza ujuzi na weledi katika fani  ya kupaka Rangi  ambayo yanatarajiwa kufanyika April 2017. (Kwa intake ya kwanza)

Mafunzo haya yataendeshwa katika Training Centre ya ACCT iliopo Arusha Technical College - Arusha

Hivyo makandarasi mnaombwa kuleta mafundi wa rangi ili waweze kuongeza ujuzi wa fani zao. Tafadhali unaombwa kuthibitisha ushiriki wa kampuni yako kupitia email info@acct.co.tz au simu 0762 074 441.

Mafunzo yanatarajiwa kufanyika kwa muda wa wiki mbili.

Ada ya Ushiriki ni Tsh. 300,000/= kwa wanachama na Tsh. 400,000/= kwa wasio wanachama.

 

Malazi na chakula ni juu ya mshiriki mwenyewe: ambapo kampuni atokayo itatakiwa kumpatia mshiriki pesa ya kujikimu, gharama ya malazi na chakula.

 

Malipo yafanywe kupitia:-

Bank ya NMB

A/C Namba: 222 1001 0340

A/C Name: Association of Citizen Contracttors Tanzania

Wote mnakaribishwa.