ACCT yakagua ukarabati wa Hospitali ya Sekou Toure Mwanza.

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/acctco/public_html/includes/menu.inc).
ACCT yakagua ukarabati wa Hospitali ya Sekou Toure Mwanza. 
 
Baadhi ya wanachama wa ACCT wakiwa na mganga mkuu wa mkoa pamoja na katibu wa hospitali, wamekagua maendeleo ya ukarabati wa Hospitali ya Sekou Toure jijini Mwanza.
 
ACCT imetoa msaada wa shs million sita kwa ajili ya ukarabati wa wodi ya upasuaji wa hospitali ya Sekou Toure ya jijini Mwanza