AHIRISHO LA SEMINA YA UTUMIAJI WA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA

Error message

Deprecated function: The each() function is deprecated. This message will be suppressed on further calls in _menu_load_objects() (line 579 of /home/acctco/public_html/includes/menu.inc).
AHIRISHO LA SEMINA YA UTUMIAJI WA MFUMO WA MANUNUZI YA UMMA
 
Salaam Mpendwa Mwanachama,
 
Tunapenda kutoa taarifa ya kuwa Semina iliyotangazwa ifanyike tarehe 30/07/2021 kwa notice ya 09/07/2021 imeahirishwa mpaka IJUMAA 6/8/2021.
 
Hii ni kwa sababu zilizo nje ua uwezo wetu kwa kuwa muendesha mada hataweza kuwepo kwa ajili ya majukumu ya kiserikali.
 
Hivyo tunapenda kuwasisitiza kwa wale ambao wamethibitisha uhakiki wao na bado hawajalipia walipe kwa Benki kwa maelezo yafuatayo:
 
JINA LA BENKI: NMB BANK
AKAUNTI NAMBA: 222 1001 0340
JINA LA AKAUNTI: ASSOCOATION OF CITIZEN CONTRACTORS TANZANIA
BRANCH: MWENGE
 
ASANTE NA SAMAHANI KWA USUMBUFU ULIOJITOKEZA.
 
Kwa mawasiliano zaidi:
Tupigie: 0715 795982/0762 074441
Barua pepe: levina@acct.co.tz