News & Events

SEMINA YA NAMNA YA KUANDAA ZABUNI ZENYE UFANISI KATIKA SEKTA YA UMMA

Chama cha Makandarasi wazalendo (ACCT) inakualika kwenye Semina inayolenga kumjengea mkandarasi uwezo katika nyanja mbalimbali za ujazaji na ushindani wa zabuni, ujazaji wa gharama inayotekelezeka katika kufanya mradi, utekelezaji na usimamizi wa mkataba wa mradi, vitu vinavyopaswa kufanyika na visivyopaswa kufanyika wakati wa kuandaa zabuni, na mikakati mbalimbali inayoweza kutumika ili kuweza kushinda zabuni.

Mada: Namna ya kuandaa zabuni zenye ufanisi katika sekta ya Umma "Preparing Successful Tenders for the Public Sector"

Ada ya Ushiriki: Wanachama ni Tsh. 300,000/= na kwa wasio Mwanachama ni Tsh. 350,000/= kwa kila mshiriki

Tarehe: 16 & 17 August, 2018 (Alhamis & Ijumaa)

Muwezeshaji “Facilitator”: Dr. Ramadhan Mlinga

Mahali: Dar -es -Salaam.

Wanaopaswa kuhudhuria: Semina hii inawalenga Makandarasi, Washauri, Maafisa ununuzi, Maafisa ugavi na wadau wote wa sekta ya ujenzi wanaalikwa kuhudhuria ili kuweza kujifunza na kuongeza uelewa zaidi katika tasnia hii.

Makandarasi wote mnakaribishwa kushiriki, Tafadhali thibitisha uwepo wako kupitia Email : info@acct.co.tz, au piga simu 0762 074 441.
Pia tunakaribisha wadhamini kutumia fursa hii kwa ajili kutangaza biashara zao.

MKUTANO MKUU WA SABA WA MWAKA

Habari Mkandarasi,

ACCT inayofuraha kukutaarifu kuwa inatarajia kufanya mkutano wake mkuu wa saba wa Mwaka. Mkutano mkuu huwapa fursa wanachama kupokea ripoti ya kazi mbalimbali zilizofanywa na chama kwa muda wa mwaka mzima, kupanga na kujadiliana mipango mbalimbali ya chama kwa mwaka unaofuata, pia kupata fursa ya wanachama kufahamiana n.k

Mkutano huu unatarajiwa kufanyika sambamba na uzinduzi wa chuo chetu cha mafunzo ya mafundi "ACCT skills Training Center” kilichopo Arusha Technical College - Arusha

Tarehe ya mkutano: Tarehe 19 & 20 April, 2018.

Ukumbi: Four points by Sheraton (Arusha Hotel), Arusha

Kauli Mbiu: Boresha ujuzi kuongeza ubora na thamani ya pesa
(“skill gap bridging for improved quality and value for money”)

Ajenda:
1. Ufunguzi wa Mkutano
2. Uzinduzi wa kituo cha mafunzo ya kuongeza ujuzi kwa mafundi “ACCT Skills Training Center”
3. Majadliano ya namna ya kuboresha kituo cha mafunzo
4. Majadiliano na mapendekezo ya namna ya kukabiliana na changamoto mbalimbali zinazowakabili makandarasi wazawa
5. Kupokea ripoti ya shughuli za chama
6. Kupokea ripoti ya Fedha
7. Majadiliano na mapendekezo ya namna ya kuboresha shughuli za chama
8. Kura ya Imani kwa Mwenyekiti
9. Ukaribisho na kugawa vyeti kwa wanachama wapya
10. Kufunga Mkutano

NOTICE FOR 7TH ANNUAL GENERAL MEETING.

The Association of Citizen Contractors Tanzania (ACCT) expects to hold its 7th Annual General Meeting on Thursday 19th & Friday 20th April, 2018 in Arusha.

AGM gives members the opportunity to receive annual activities report conducted by the Association for the whole year, to discuss various Associations’ plans for the next year, networking with other members and other stakeholders in the construction industry etc. This event is recognized as the keynote conference for ACCT members and construction stakeholders thus provides ideal networking opportunities for participants.

The 7th AGM is expected to be done in line with INAUGURATION OF OUR ACCT SKILLS TRAINING CENTRE AT ARUSHA TECHNICAL COLLEGE (ATC) – ARUSHA, The centre is established to sharpen skills of Fundis’ and artisans who are primary implementer of contractors projects.

All construction stakeholders are invited to join us by sponsoring this exclusive event termed to give opportunity for you to meet clients and share business deals with them.

For more information about the event and sponsoring kindly contact our offices through
Email: info@acct.co.tz or Mob: 0762 074 441

Regards,
MS. ANGELA JOSEPH
EXECUTIVE SECRETARY

Association of Citizen Contractors Tanzania (ACCT);
Sinza B; Mbutu Street Plot no. 55; Block 4
P.O Box 14666; Dar es Salaam; Tanzania
Contact; +255 762 074 441
Email: info@acct.co.tz;Website: www.acct.co.tz

ACCT imekutana na Mkandarasi wa Standard Gauge kwa lengo la kushirikiana na wakandarasi wazawa

Baada ya kuona tangazo la kazi za mradi wa Standard gauge Team ya ACCT ikiongozwa na Mwenyekiti leo tumekutana na  Rahco na Mkandarasi mkuu (Yapi Merkezi) kuangalia namna ya kushirikisha makandarasi wazawa kwa kuwapa kazi ndogondogo mbalimbali katika mradi huo ili kujenga uwezo wa wazawa.

NAFASI ZA MAFUNZO KWA MAFUNDI

Chama cha Makandarasi (ACCT) kilifanya utafiti na kubaini baadhi ya mapungufu katika kandarasi za wazawa ambazo zinasababisha makandarasi hawa kushindwa kuhimili ushindani na kampuni za makandarasi kutoka nje, sababu mojawapo ni ujuzi na uelewa mdogo wa Mafundi ambao ndio watekelezaji wa kazi hizo. Mbali na kufanyakazi kwa mazoea, mafundi hawa hukosa taaluma sahihi kwenye fani yao ili kutekeleza majukumu yao kwa ufanisi unaotakiwa ili kuhimili soko la ushindani kwani walio wengi wamejifunza kazi wakiwa site.

Study tour in FINLAND and SWEDEN

Kindly be informed that the External Affairs, Research and Development Subcommittee has organized a study tour in FINLAND and SWEDEN.

When: 24th September to 05th October
Participation Fee: USD 4,500 For Members, USD 4,800 for Non Members
Terms of Payment: 1st Installment USD 2,000 for members, USD 2,500 for Non Members - Deadline 10th August 2017
2nd Installment USD 2,500 for members, USD 2,300 for Non Members
- Deadline 15th September 2017

Coverage of participation Fee: Round Flight Ticket, Internal transport, Visa, Tour Health Insurance, Accommodation with Breakfast and Lunch.
Limit of participants: 30 participants, Program of the tour will be sent to you after when we receive it from our hosts. Register now, the first in the first considered. Confirmation will be subject to payment of 1st Installment

You are all welcome

ACCT, Together we can

AFRICAN CONSTRUCTION AND TOTALLY CONCRETE EXPO

The 5th annual African Construction and Totally Concrete Expo - Africa 's mega construction and infrastructure show and biggest gathering of 9000 qualified buyers and sellers for the entire built environment value chain. In 2017 the event features an indoor/outdoor exhibition with 6 new dedicated zones including Concrete and Cement, MEP, Surfaces and Finishes, Tools and Equipment, Digital Construction and Construction. With a robust workshop programme , the event provides FREE HOT (hands on technical) training fro professional development and skill building to Create Africa's leading event for built environment professionals.

ACCT 6th ANNUAL GENERAL MEETING

The Association of Citizen Contractors Tanzania (ACCT) announces to hold its 6th Annual General Meeting (AGM).
Date: Thursday 27th & Friday 28th April 2017
Where: SEASCAPE HOTEL, Located at Mbezi Beach, Africana Rd, DAR ES SALAAM
Theme: “The role of Unity in sustainable development – Active Participation a Key to development”
You are all welcome
Event and registration details call 0762 074 441 or Email info@acct.co.tz
In the meantime if you are interested in being a sponsor please contact us we will be thankful for your support.
Sponsors are recognized on our website and throughout meeting. All sponsorship donations are greatly appreciated and ensure that our event is successful.

Pages